Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Linus
alikuwa
Papa
kuanzia takriban
68
hadi
kifo
chake takriban
79
[1]
. Alitokea
mkoa
wa
Toscana
,
Italia
[2]
.
Alimfuata
Papa
wa kwanza
[3]
,
Mtume Petro
[4]
[5]
[6]
[7]
[8]
[9]
, akafuatwa na
Papa Anacletus
.
Ndiye aliyetajwa na
Mtume Paulo
katika
Waraka wa pili kwa Timotheo
, 4:21
[10]
kwamba alikuwa naye mwishoni mwa maisha yake
[11]
.
Tangu kale anaheshimiwa kama
mtakatifu
na kutajwa katika
Kanuni ya Kirumi
.
Sikukuu
yake ni
tarehe
23 Septemba
[12]
.
- ↑
https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
- ↑
http://www.santiebeati.it/dettaglio/71550
- ↑
J. N. D. Kelly,
Oxford Dictionary of Popes
, 2005, pp. 6?7.
- ↑
Irenaeus,
Against Heresies
,
3: 3.3
- ↑
"Post Petrum primus Ecclesiam Romanam tenuit Linus" (
Chronicon
,
14g
(p. 267))
- ↑
Church History
,
3.2
- ↑
"Church Fathers: Homily 10 on Second Timothy (Chrysostom)"
.
- ↑
The Chronography of 354 AD
,
Part 13: Bishops of Rome
- ↑
Liber Pontificalis
,
2
- ↑
Kirsch, Johann Peter
(1910).
"Pope St. Linus"
.
Catholic Encyclopedia
. Juz. 9. New York, New York, USA: Robert Appleton Company.
- ↑
Irenaeus stated that this is the same Linus who became Bishop of Rome, and this conclusion is generally still accepted.
- ↑
Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum
, Romae 2001,
ISBN 8820972107
: "At Rome, the commemoration of Saint Linus, Pope, to whom, as Saint Irenaeus narrates, the blessed Apostles entrusted the responsibility of the episcopate of the Church founded in the City, and whom the blessed Paul the Apostle mentions as a companion of his."
- Louise Ropes Loomis,
The Book of Popes
(Liber Pontificalis)
. Merchantville, NJ: Evolution Publishing.
ISBN 1-889758-86-8
(Reprint of the 1916 edition. Stops with Pope Pelagius, 579–590. English translation with scholarly footnotes, and illustrations).
- Catholic Encyclopedia
, Volume IX.
New York
1910
, Robert Appleton Company. * Lightfoot, The Apostolic Fathers; St. Clement of Rome, I (
London
,
1890
), uk. 201 n.k.;
- Adolf von Harnack
, Geschichte der Altchristlichen Literatur, II: Die Chronologie I (
Leipzig
,
1897
), uk. 70.
- Claudio Rendina,
I Papi. Storia e segreti
, Newton & Compton,
Roma
,
1983
.
|
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4
| | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8
| |
---|
karne ya 9 hadi ya 12
| |
---|
karne ya 13 hadi ya 16
| |
---|
karne ya 17 hadi ya 20
| |
---|
karne ya 21
| |
---|
|