Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pambazuko
(au
macheo
au
maawio
ya
jua
) ni hasa
nukta
ambapo jua linaanza kuonekana upande wa
mashariki
wa dunia,
[1]
lakini pia kipindi chote cha
siku
ambacho kinafuata na kuathiriwa na nukta hiyo.
[2]
Kurudi kwa mwanga wa kutosha duniani baada ya giza la
usiku
ni mfano muhimu katika
sanaa
na katika
dini
ambao unachukuliwa kama mzuri na wa kuleta
tumaini
jipya.
Kinyume cha mapambazuko au macheo ni
machweo
wakati wa jioni.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: