한국   대만   중국   일본 
Orodha ya Marais wa Tanzania - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Marais wa Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine  · Atlasi

Makala hii inaonyesha orodha ya marais wa Tanzania .

Marais wa Tanzania, 1964-hadi sasa [ hariri | hariri chanzo ]

Jina Amechukua ofisi Ameondoka ofisini Chama
Julius Nyerere Julius Nyerere
(1922?1999)
26 Aprili 1964 5 Februari 1977 TANU
5 Februari 1977 5 Novemba 1985 CCM
Ali Hassan Mwinyi.jpg Ali Hassan Mwinyi
(1925?2024)
5 Novemba 1985 23 Novemba 1995 CCM
Benjamin Mkapa Benjamin Mkapa
(1938?2020)
23 Novemba 1995 21 Desemba 2005 CCM
Jakaya Kikwete Jakaya Kikwete
(1950?)
21 Desemba 2005 5 Novemba 2015 CCM
John Magufuli John Magufuli
(1959?2021)
5 Novemba 2015 17 Machi 2021 CCM
Samia Suluhu Hassani Samia Suluhu Hassan
(1960-)
19 Machi 2021 CCM

Ushirika wa Kisiasa [ hariri | hariri chanzo ]

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]