Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Oliver Cromwell
(
25 Aprili
1599
?
3 Septemba
1658
) alikuwa
mwanajeshi
na
mwanasiasa
wa
Uingereza
. Anajulikana kwa kufanya
jamhuri ya Uingereza
kuwa na
umoja
na
soko la pamoja
.
Cromwell alikuwa
mwanamapinduzi
ambaye alikuwa akipinga
utawala
wa
mfalme
Charles I wa Uingereza
ambaye alikuwa na
uongozi
mbaya ambao uliwapitisha wananchi WA Uingereza katika kipindi kigumu. Aliunga mkono
bunge
dhidi ya mfalme. Alitoa
amri
ya kijeshi ya kuvunja bunge katika utawala wake. Kitendo alichochukua Cromwell hakikufurahisha watu zaidi ya kuwachanganya mpaka leo.
Cromwell alikuwa wa kwanza Uingereza kutekelezwa
Upuritani
. Alikuwa analinda
imani
na
maadili
ya
Anglikana
ili ziheshimiwe na watu. Watu waliokwenda kinyume na
dini
hiyo aliamuru wakamatwe na kuteswa.
|
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Oliver Cromwell
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|