Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nintendo
(kwa
Kijapani
: 任天堂) ni
kampuni
inayotengeneza
michezo ya video
na vitu vya kujifariji au kujiliwaza.
Mara ya kwanza, ilianza kwa kuunda
kadi za kuchezea
na
vichezeo
.
Ofisi
kuu ni
Kyoto
,
Japan
. Pia wana ofisi katika ma
bara
mengine.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Nintendo
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|