Mo Yan (amezaliwa 17 Februari , 1955 chini ya jina la Guan Moye ) ni mwandishi kutoka nchi ya Uchina . Hasa ameandika riwaya na hadithi fupi. Mwaka wa 2012 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .