Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katika
takwimu
,
mkengeuko wastani
(kwa
Kiingereza
"standard deviation") ni kipimo cha kiasi cha tawanyiko ya sampuli ya data. Mkengeuko wastani wa chini unaonyesha thamani za sampuli ya data ni karibu na
wastani
, ilhali mkengeuko wastani wa juu unaonyesha thamani ni mbali na wastani.
Umeandikwa kwa herufi ya
Kigiriki
σ
au kwa herufi ya
Kilatini
S
Mkengeuko wastani ni
kipimo cha tawanyiko
kama
muachano
au
masafa
.
Ili mtafute mkengeuko wastani kwa lugha ya
programu ya takwimu R
mandike :
> SampuliYangu<- c(7, 4, 3, 6, 9, 2, 9, 13, 9, 9)
> sd(SampuliYangu)
[1] 3.381321
- Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001).
An introduction to probability and statistics
. Wiley.
- Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015).
Introduction to statistics and data analysis
. Cengage Learning.