Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ujauzito
ni hali ya
mja
(yaani
mtu
, hususan
mwanamke
) kuwa mzito kutokana na
mimba
.
Hali hiyo kwa kawaida inadumu
wiki
38 (miezi tisa hivi) ambapo mimba inazidi kukua na kukomaa ndani ya
tumbo la uzazi
la
mama
yake hadi wakati wa huyo kujifungua.
Ingawa katka
lugha
kadhaa yanatumika ma
jina
mbalimbali kwa mimba hiyohiyo kadiri muda wa kukua unavyozidi kwenda, hakuna badiliko la msingi wala hatua mpya, bali ni ustawi endelevu.
Miezi mitatu ya kwanza ndiyo yenye
hatari
zaidi ya mimba kuharibika.
Pengine mimba si moja bali mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hapo watazaliwa watoto
pacha
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
biolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ujauzito
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|