Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Katika
utarakilishi
,
mfumo wa uendeshaji
(
kifupi
:
MU
; kwa
Kiingereza
: "Operating system") ni
programu ya mfumo
unaodhibiti
vifaa
,
programu tete
,
rasilimali ya tarakilishi
na unaotoa
huduma
kwa
programu
ya
tarakilishi
.
Kwa mfano,
Ubuntu
,
Windows
,
Mac OS
au
Linux
ni mifumo ya uendeshaji.
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary.
Africa & Asia
,
5
, 85-107.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
teknolojia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|