Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Menigni
(alifariki
Parion
, leo nchini
Uturuki
,
250
hivi) alikuwa
fundirangi
Mkristo
aliyeteswa kikatili na hatimaye akakatwa
kichwa
mbele ya
mke
wake kwa sababu ya
imani
yake katika
dhuluma
ya
kaisari
Decius
baada ya kuchana kishujaa
hati
ya
serikali
iliyoagiza dhuluma hiyo
[1]
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
mfiadini
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
15 Machi
[2]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|