Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marlon Brando
|
Marlon Brando, mnamo 1961.
|
Amezaliwa
|
Marlon Brando Jr.
(
1924-04-03
)
Aprili 3, 1924
Omaha, Nebraska
,
Marekani
|
Amekufa
|
1 Julai 2004 (umri 80)
Los Angeles, California
,
Marekani
|
Kazi yake
|
Mwigizaji
|
Miaka ya kazi
|
1944-2004
|
Ndoa
|
Anna Kashfi (1957-1959)
Movita Castaneda (1960-1968)
Tarita Teriipaia (1962-1972)
|
Watoto
|
11
|
Marlon Brando
(
3 Aprili
1924
?
1 Julai
2004
) alikuwa
mwigizaji
wa
filamu
maarufu wa
Kimarekani
. Anafahamika zaidi kwa kuwa mhusika mkuu katika baadhi ya filamu zilizotamba sana miaka ya nyuma kama vile; A Streetcar Named Desire (
1951
), The Wild One (
1953
), The Godfather (
1972
), Superman (
1978
), Apocalypse Now (
1979
), na The Island of Dr. Moreau (
1996
).
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Marlon Brando
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|