Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mark Robert Michael Wahlberg
|
Muigizaji Mark Wahlberg mnamo Februari 2012
|
Jina Kamili
|
{{{jina kamili}}}
|
Jina la kisanii
|
Mark Wahlberg, Marky Mark
|
Nchi
|
Marekani
|
Alizaliwa
|
5 Juni
1971
,Dorchester, Boston, Massachutts,Marekani
|
Kazi yake
|
Mwigizaji wa filamu na Mtayarishaji wa Vipindi vya Televisheni
|
Mark Robert Michael Wahlberg
(amezaliwa tar.
5 Juni
mwaka
1971
huko mjini Dorchester, Boston, Massachutts) ni
mwigizaji
wa
filamu
na mtayarishaji wa vipindi vya
televisheni
kutoka nchini
Marekani
.
Alikuwa akifahamika kama Marky Mark katika siku zake za awali, na pia alipata umaarufu sana akiwa kama mwanamuziki wa rap katika bendi yake iitwayo
Marky Mark and the Funk Bunch
.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mark Wahlberg
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|