Margaret Munnerlyn Mitchell ( 8 Novemba 1900 – 16 Agosti 1949 ) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1937 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Gone with the Wind .