Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marcelo Vieira.
Marcelo Vieira da Silva Junior,
(anayejulikana kama
Marcelo
; matamshi ya
Kireno
cha Brazil: [ma??s?lu]; alizaliwa
12 Mei
1988
, ni
mchezaji
wa
klabu
ya
Real Madrid
ya
Hispania
na wa
timu ya taifa
ya
Brazil
. Anacheza kama
beki
wa kushoto na pia anaweza kucheza kama
winga
wa kushoto.
Mwaka
2005
, alishinda
taji
la
Campeonato Carioca
akiwa na klabu ya
Fluminense
na mwaka
2006
, alikuwa mchezaji bora wa
Brazil
, akiwa na miaka 18 tu. Mwisho wa msimu huo alinunuliwa na
Real Madrid
kwa
$
8 milioni. Mpaka mwaka
2017
bado anacheza
Real Madrid
akiwa na magoli 28 akiwa amecheza mechi 408 amecheza misimu 11. Akiwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi Cha
Real Madrid
walifanikiwa kubeba
UEFA Champions Leagues
mara tatu na ameshinda
La Liga
mara nne.
Ameichezea
Brazil
kwa mara ya kwanza 2006 dhidi ya
Wales
na akashinda goli na alikuwa mmoja wa timu ya
Brazil
kwenye michuano ya
2014 FIFA World Cup
ambapo timu yao ilitoka kwenye ngazi ya nusu fainali na wakaitwa timu yenye ndoto za ubingwa. Na akaitwa timu bora ya msimu
La Liga
mwaka 2016.
Baada ya kumaliza msimu,
Marcelo
alisifiwa na magwiji wa
soka
kama
Paolo Maldini
na
Diego Maradona
ambaye alisema kuwa
Marcelo
ndiye mchezaji bora kwa nafasi yake. Na alianza kulinganishwa na
Roberto Carlos
ambaye alisema kwamba
Marcelo
ni mrithi wake, ni beki bora wa kushoto na akasema "Marcelo anacheza vizuri zaidi yangu".
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Marcelo Vieira
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|