Marcus Cook Connelly ( 13 Desemba 1890 – 21 Desemba 1980 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1930, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Green Pastures .