Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mantiki
(kutoka
Kiarabu
????
mantiq
; kwa
Kiingereza
logic
kutoka
Kigiriki
logos
, yaani neno, wazo) ni
elimu
jinsi ya kutoa
hoja
sahihi.
Mantiki inasaidia kufikia
uamuzi
kama hoja fulani ni ya kweli au la. Mantiki ni
tawi
la
falsafa
, pia
hisabati
.
Mfano
wa
hitimisho
(
syllogism
) kutoka
Wagiriki wa Kale
na siku za mwanzo wa mantiki iliyotolewa na
Aristoteli
:
- Kila mtu atakufa
- Sokrates
ni mtu
- Kwa hiyo Sokrates atakufa
Mantiki kwa fomula
Hitimisho hiyo inaweza kuandikwa pia kwa
fomula
:
- husomwa kama "na", kwa kumaanisha zote mbili
- husomwa kama "au", kwa kumaanisha angalau moja kati ya hizi mbili
- husomwa kama "inamaanisha", au "kama ... halafu ...".
- husomwa kama "hapana" au "si vile ...".
- Mabano
(
,
)
huongezwa kwa kuratibu hoja kwa umuhimu. Yaani kile katika mabano kinapaswa kuangaliwa kwanza.
Kwa hiyo hitimisho ya Aristoteli kwa fomula:
Hiyohiyo kama fomula kwa mifano yote: