Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mamerto
(alifariki
Vienne
, leo nchini
Ufaransa
,
475
hivi) alikuwa
askofu
wa
mji
huo
[1]
kuanzia mwaka
462
hivi.
Katika kukabiliana na
maafa
ya kijamii, alianzisha siku tatu za kusali kwa fahari
litania
ili kujiandaa kwa
sherehe
ya
Kupaa Bwana
.
Tangu kale anaheshimiwa na
Wakatoliki
na
Waorthodoksi
kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
11 Mei
[2]
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|