Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jua
,
dakika
moja kabla ya kuchwa huko
Ureno
.
Machweo katika Hifadhi ya Taifa Nyerere
Tanzania
.
Machweo
(au
Magharibi
) ni kipindi cha
siku
ambapo
jua
linatoweka kabisa kwa
macho
ya
watu
wa eneo fulani, kabla ya kwanza
usiku
. Kinyume chake ni macheo au
pambazuko
inayotokea wakati usiku unakwisha na mchana unaanza.
Wakati huo
rangi
nyekundu
inatawala
mandhari
.
Binadamu
na
wanyama
wengi wakati huo wanakwenda
mahali
pa kupumzika
usiku
.
Dini
mbalimbali zinaagiza
sala
kwa wakati huo, kwa mfano
Ukristo
na
Uislamu
.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: