Luiz Inacio Lula da Silva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lula (2023)

Luiz Inacio Lula da Silva , (amezaliwa 27 Oktoba 1945 ) ni mwanasiasa na afisa mstaafu wa jeshi ambaye ni rais wa 39 wa Brazil .

Lula alichaguliwa kuwa rais wa Brazil kwa mara ya kwanza mnamo 2003 na kisha 2006, halafu mara ya tatu mwaka 2022 dhidi ya Jair Bolsonaro .

Alichaguliwa mnamo 2022 kama mshiriki wa Chama cha Huru ya Jamii ya kihafidhina kabla ya kukata mahusiano nao, amekuwa ofisini tangu 1 Januari 2023 .

Lula (2007)