Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luis Alberto Suarez
(alizaliwa
Januari 24
, 1987) ni
mchezaji
wa
soka
wa
Uruguay
ambaye anacheza nafasi ya
mshambuliaji
katika
timu
ya
Atletico Madrid
na
timu ya taifa
ya Uruguay.
Luis Suarez mara nyingi huonekana kama mchezaji bora zaidi duniani, pia hujulikana kwa
jina
la Professional Goalscorer, Suarez ameshinda vikombe 16 katika kazi yake, ikiwa ni pamoja na
mataji
matano ya ligi, cheo cha
UEFA Champions League
(UCL) na
Copa America
. Suarez pia amepata viatu viwili vya
dhahabu
,na kiatu kimoja cha dhahabu cha
Eredivisie
.
Suarez alichezea
Ajax
na kisha akaenda
Liverpool
,
Barcelona
na sasa hivi yupo Atletico Madrid .
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Luis Suarez
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|