Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Luis Figo
(alizaliwa
4 Novemba 1972
) ni
mchezaji
wa zamani wa
mpira wa miguu
wa
timu ya taifa
ya
Ureno
na
klabu
za
Barcelona F:C:
,
Real Madrid
za nchini
Hispania
na
Inter Milan
ya nchini
Italia
.
Figo alijiunga na
Barcelona
akitokea timu ya klabu ya
Sporting CP
ya nchini
Ureno
mwaka
1995
na kufanikiwa kuchukua kombe la
UEFA
la mwaka
1997
.
Mwaka
2000
Figo alisajiliwa na klabu ya
Real Madrid
kwa ada ya paundi milioni 62 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa
Florentino Perez
wakati alipokuwa anagombea
urais
wa klabu ya
Real Madrid
.Mpaka sasa Figo huitwa
msaliti
na mashabiki wa klabu ya
Barcelona
.
Mwaka
2001
Figo alifanikiwa kuchukua kombela
LA LIGA
na kufanikiwa kuwa mchezaji bora wa mwaka.Mwaka
2005
alihamia klabu ya
Inter Milan
kwauhamisho huru nakucheza kwenye klabu hiyo mpaka
2009
na kustaafu
soka
la ushindani.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Luis Figo
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|