Liturujia ya Kimungu ni adhimisho la ekaristi kwa jina linalotumiwa hasa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata madhehebu ya Kigiriki .
Ina sehemu kuu mbili: moja ambayo inaruhusu wakatekumeni kuhudhuria, ya pili ni kwa ajili ya waamini waliobatizwa tu.
Inaleta hasa Neno la Mungu kutoka Biblia ya Kikristo
Ndiyo adhimisho la ekaristi yenyewe kwa uwezo wa Roho Mtakatifu .
Makanisa ya Kiorthodoksi
Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki
Kanisa Katoliki la Kimelkiti
Kanisa Katoliki la Armenia