Lee Myung-bak (李明博; 李明博; 19 Desemba 1941 ) ni mwanasiasa wa Korea Kusini na tangu 2008 amekuwa rais wa nchi hiyo.