Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Las Vegas
ni mji wa
Marekani
katika
jimbo
la
Nevada
. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.8 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 610 kutoka
juu ya usawa wa bahari
. Pia ni mji ambao watu wengi hupenda kwenda, kwa kuwa ni mji wa starehe.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Las Vegas, Nevada
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|