Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kristofa
,
mchoro mdogo
katika
Westminster Psalter
,
1250
hivi.
Kristofa wa Lisia
(kwa
Kigiriki
?γιο? Χριστ?φορο?,
Agios Christoforos
; alifariki
Licia
, leo nchini
Uturuki
,
251
hivi) ni
mtakatifu
anayeheshimiwa na
madhehebu
mengi ya
Ukristo
kama
mfiadini
wa
dhuluma
ya
kaisari
Decius
[1]
[2]
[3]
.
Hata hivyo, habari nyingi zinazosimuliwa juu yake si za hakika
[4]
[5]
[6]
[7]
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
25 Julai
[8]
,
9 Mei
[9]
au siku nyingine
[10]
- ↑
David Woods,
"St. Christopher, Bishop Peter of Attalia, and the Cohors Marmaritarum: A Fresh Examination"
,
Vigiliae Christianae
, Vol. 48, No. 2 (Jun., 1994), p.170
- ↑
D.H. Farmer, The Oxford Dictionary of Saints (3rd ed.: Oxford, 1992), 97-98; or the note by V. Saxer in A. di Berardino (ed.), Encyclopedia of the Early Church I (New York, 1992), 165
.
- ↑
T.D. Barnes, The New Empire of Diocletian and Constantine (Cambridge, MA, 1982)
. ku. 65?66.
- ↑
"CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Christopher"
.
www.newadvent.org
.
- ↑
"
"St. Christopher",
Lives of Saints
, John J. Crawley & Co., Inc"
. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2018-04-12
. Iliwekwa mnamo
2018-02-01
.
- ↑
Shin, Kyung-Sook
(2014).
I'll Be Right There
. Other Press, LLC.
ISBN
9781590516744
. Iliwekwa mnamo
2015-08-09
.
[...] the Christian Christopher can also be seen as a combination of Atlas and Hermes of Greek mythology.
- ↑
http://www.santiebeati.it/dettaglio/64200
- ↑
Martyrologium Romanum
(Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN|88-209-7210-7)
- ↑
? ?γιο? Χριστοφ?ρο? ? Μεγαλομ?ρτυρα?
.
9 Μα?ου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑
https://st-takla.org/Saints/Coptic-Orthodox-Saints-Biography/Coptic-Saints-Story_879.html
- Bouquet, John A. (1930).
A People's Book of Saints
. London: Longman's.
- Butler, Alban (1956). Thurston, Herbert J.; Attwater, Donald (whr.).
Butler's lives of the saints
. New York: Kenedy.
- Cunningham, Lawrence S. (1980).
The meaning of saints
. San Francisco: Harper & Row.
ISBN
0-06-061649-0
.
- de Voragine, Jacobus (1993).
The golden legend: readings on the saints
. William Ryan, trans. Princeton, NJ: Princeton Univ. Press.
ISBN
0-691-00865-5
.
- Weinstein, Donald; Bell, Rudolph M. (1982).
Saints and society: the 2 worlds of western Christendom, 1000?1700
. Chicago: Univ. of Chicago Pr.
ISBN
0-226-89055-4
.
- White, Helen (1963).
Tudor Books of Saints and Martyrs
. Madison: University of Wisconsin Press.
- Wilson, Stephen, mhr. (1983).
Saints and their cults: studies in religious sociology, folklore, and history
. Cambridge: Cambridge University Press.
ISBN
0-521-24978-3
.
WikiMedia Commons
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|