Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kristine Hermosa Orille
(Amezaliwa tar.
9 Septemba
1983
mjini Quezon City,
Ufilipino
) ni mwigizaji maarufu kutoka nchi
Ufilipino
. Hermosa alizaliwa na matabaka mawili, mama yake ni
mwispania
, baba yake ni
mfilino
.
Hermosa pia ana dada yake aitwae Kathleen, ambaye aliyekuwa na shauku ya kuwa nyota wa ‘’ABS-CBN’’. Ingawaje, dada yake Hermosa alifeli kumvutia mwamuzi katika uchgauzi wa kwanza wa wasanii, badala yake akachaguliwa mdogo wake mrembo mwenye sura ya kuvutia iliopelekea mwamuzi kumchagua, ni Kristine Hermosa, aliyechaguliwa kuwa msanii wa ‘’ABS-CBN’’.
Ilifikiriwa kuwa ni msanii mwingine tena mdogo mwenye urembo safi, aliyepatia umaarufu wake katika tamthlia ya "Pangako Sa 'Yo" (Kwa
kiing
The Promise) ambayo ndio iliomjengea umaarufu mkubwa sana kwa kuigiza kama mpenzi wake Angelo Buenavista (
Jericho Rosales
) ambaye baadae alikua kuwa mpenzi wake wa kweli wa katika maishani.
Miaka ya mwanzo kabla Kristine kuwa maarufu, aligiiza kama Baron Geisler katika tamhilia ya
Nagbibinata
. Baadae, alishriki katika mchezo mmoja wa kuigiza uliojulikana kwa jina la "Sa Sandaling Kailangan Mo Ako", mchezo huo ulikuwa ukionyesha kila siku za wiki, huku akiwa sambamba kabisa na mwigizaji mwenzake bwana Marvin Agustin.
Mwaka
|
Jina la Filamu
|
Jina aliotumia
|
????
|
Big Love
|
TBA
|
????
|
Enteng Kabisote 4
|
Faye
|
2006
|
Okey_Ka_Fairy_Ko
|
Faye
|
2006
|
Wag Kang Lilingon
|
Angel
|
2005
|
Okey_Ka_Fairy_Ko
|
Faye
|
2004
|
Okey_Ka_Fairy_Ko
|
Faye
|
2004
|
Bcuz of U
|
Ria
|
2004
|
All My Life
|
Louie
|
2003
|
Ngayong Nandito Ka
|
Garie
|
2002
|
Forevermore
|
Marian
|
2001
|
Dugong Aso: Mabuting Kaibigan, Masamang Kaaway
|
Unknown
|
2001
|
Trip]'
|
Celine
|
2001
|
Hostage
|
Gina
|
2000
|
Pera o bayong
|
Herself
|
1999
|
Mahal na kung mahal
|
Chrissie
|
1999
|
Gimik: The Reunion
|
Tintin Fernandez
|
1998
|
Sa Sandaling Kailangan Mo Ako
|
Agnes
|
1998
|
Nagbibinata
|
Unknown
|
Mwaka
|
Jina
|
Jina alilotumia
|
2006
|
MTV Pilipinas Music Video Award 2006
|
Kristine Hermosa
|
2004
|
Understatement: The Bench Underwear and Denim Fashion Show
|
Kristine Hermosa
|
- http://www.abs-cbnnews.com/storypage.aspx?StoryId=89904
Archived
2007-07-09 at
Archive.today
- http://www.imdb.com/name/nm1216694/bio