Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Konoe
(
16 Juni
,
1139
–
22 Agosti
,
1155
) alikuwa mfalme mkuu wa 76 (
Tenno
) wa
Japani
. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa
Narihito
, na alikuwa mwana wa nane wa Tenno
Toba
. Mwaka wa
1142
alimfuata kaka yake, Tenno
Sutoku
, na kuwa mfalme hadi kifo chake mwaka wa 1155. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake
Go-Shirakawa
.
|
Makala hii kuhusu
Kaizari
fulani wa
Japani
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Konoe wa Japani
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|