Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtume wa Wapikti.
Kolumba
(anajulikana pia kama
Colum Cille, Colm Cille, Calum Cille, Colum Keeilley, Kolban na Kolbjørn
, maana yake "Njiwa wa Kanisa";
7 Desemba
521
?
9 Juni
597
) alikuwa
mmonaki
padri
mmisionari
kutoka
Ireland
aliyeeneza
Ukristo
kati ya
Wapikti
wa
Uskoti
.
Baada ya kupata
malezi
ya
kitawa
, alianzisha
monasteri
kadhaa maarufu kwa
nidhamu
na
elimu
, kwanza kwao, halafu katika
kisiwa cha Iona
(Uskoti) alipofariki mbele ya
altare
akiwa anamngojea
Bwana
[1]
.
Anahesabiwa kati ya
Mitume kumi na wawili wa Ireland
.
Anaheshimiwa na
madhehebu
mbalimbali kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake ni tarehe ya
kifo
chake, 9 Juni
[2]
.
Peke yangu, pasipo yeyote ila wewe, Mungu wangu,
nasafiri katika njia yangu.
Niogope nini, ukiwa karibu nami, mtawala usiku na mchana?
Katika mkono wako niko salama
kuliko kama ningezungukwa na jeshi la kunilinda.
- Adomnan
(c. 700), Reeves, William (mhr.),
Life of Saint Columba, Founder of Hy.
, Edinburgh: Edmonston and Douglas (ilichapishwa mnamo 1874)
, iliwekwa mnamo
2008-09-14
- Tranter, Nigel G.
(1987),
Historical novels by Nigel Tranter set before 1286
, Hodder & Stoughton,
ISBN
0-340-40699-2
, iliwekwa mnamo
2008-09-14
- Magnusson (1990),
The Cambridge Biographical Dictionary
, Cambridge University Press,
ISBN
0-521-39518-6
, iliwekwa mnamo
2008-09-14
- Lewis, James (2007),
Paths of Exile: Narratives of St. Columba and the Praxis of Iona
, Cloverdale Corporation,
ISBN
1-929569-24-6
, iliwekwa mnamo
2008-09-14
- Campbell, George F
(2006),
The First and Lost Iona
, Glasgow: Candlemas Hill Publishing,
ISBN
1-873586-13-2
, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2010-06-14
, iliwekwa mnamo
2012-09-08
WikiMedia Commons
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|