Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiyoruba
ni
lugha ya Kiniger-Kongo
hasa nchini
Nigeria
inayozungumzwa na
Wayoruba
. Ni lugha rasmi mojawapo ya nchi ya Nigeria. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiyoruba nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu karibu milioni 19. Pia kuna wasemaji 465,000 nchini
Benin
. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyoruba iko katika kundi la Kidefoidi.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kiyoruba
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|