Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kivietnam
ni
lugha ya Kiaustro-Asiatiki
nchini
Vietnam
,
Kamboja
na
Uchina
inayozungumzwa na
Wavietnam
. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kivietnam imehesabiwa kuwa watu milioni 65.8 nchini Vietnam na 7200 nchini Uchina. Pia kuna wasemaji 72,800 nchini Kamboja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivietnam iko katika kundi lake lenyewe la Kivietnam.
Lugha ya Kivietnam ni
lugha rasmi
nchini Vietnam. Pia huzungumzwa katika nchi nyingi na wahamiaji Wavietnam, k.m. Marekani, Australia na nchi za Ulaya.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kivietnam
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|