Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimberly Noel Kardashian
[1]
[2]
(alizaliwa
Oktoba 21
,
1980
) ni
mwanamitindo
, na
mfanyabiashara
wa
Marekani
.
[3]
.
Alipata umaarufu kwa mara ya kwanza katika vyombo vya habari kama rafiki na mwanamitindo wa
Paris Hilton
, lakini alipata sifa zaidi baada ya kanda ya
ngono
ya Kim Kardashian, Superstar, iliyopigwa mwaka
2002
na mpenzi wake, mwaka wa 2007.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kim Kardashian
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|