Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kikurdi
(kwa
lugha
hiyo: ?????, Kurdi, tamka: [?ku?diː]) ni
kundi
la
lahaja
za
Kiajemi
zinazotumika na
Wakurdi
wengi (milioni 20-30 hivi) huko
Mashariki ya Kati
.
Ni
lugha rasmi
mojawapo katika nchi ya
Iraq
, lakini katika nchi nyingine, hasa
Syria
, hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kurdish travel guide
kutoka Wikisafiri
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kikurdi
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|