Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinyanja
(pia
Chichewa
) ni
lugha ya Kibantu
inayozungumzwa nchini
Malawi
kama
lugha rasmi
na
lugha ya taifa
. Mwaka wa
2001
idadi ya wasemaji wa Kinyanja nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni saba. Pia kuna wasemaji 803,000 nchini
Zambia
(2001), 599,000 nchini
Msumbiji
(2006), na 252,000 nchini
Zimbabwe
(1969). Kufuatana na uainishaji wa
lugha
za Kibantu wa
Malcolm Guthrie
Kinyanja iko katika kundi la N30.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kinyanja
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|