Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiakan
(pia
Kitwi
) ni
lugha ya Kiniger-Kongo
nchini
Ghana
inayozungumzwa na
Waakan
. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiakan nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nane. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiakan iko katika kundi la Kikwa.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kiakan
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|