Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaliningrad
(
Kirusi
:
Калининград
) ni
mji
wa
Urusi
. Ina wakazi 430.003. Hapa iko
makao makuu
ya mkoa wa
Kaliningrad Oblast
.
Hadi 1945 Kaliningrad ilikuwa mji wa Kijerumani uliojulikana kama
Konigsberg
. 1945 kwenye mwisho wa
Vita Kuu ya Pili ya Dunia
wakazi
Wajerumani
walikimbia au walifukuzwa na wakazi wapya walipelekwa hapa kutoka mikoa mengine ya Urusi.
2010 mji ulikuwa na wakazi 431,902.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Urusi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Kaliningrad
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
|
---|
Wakazi zaidi ya 1.000.000
| |
---|
Wakazi 500.000-1.000.000
| |
---|
Wakazi 250.000-500.000
| |
---|
Miji mikuu mingine ya maeneo ya Shirikisho la Urusi
| |
---|
Makao makuu
ya maeneo ya shirikisho yanaonyeshwa na
herufi zilizokozwa
|