한국   대만   중국   일본 
California - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

California

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kalifornia )








California

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani  Marekani
Mji mkuu Sacramento
Eneo
 - Jumla 423,970 km²
 - Kavu 403,933  km²  
 - Maji 20,037  km²  
Tovuti :   http://www.ca.gov/

California (pia: Kalifornia ) ni jimbo la Marekani upande wa magharibi - kusini ya nchi. Iko kwenye pwani ya Pasifiki ikipakana na Meksiko ( Baja California ).

Wakazi wamekadiriwa kuwa 39,512,223 mwaka 2019 .

California ni kati ya majimbo ya Marekani yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi. Kama California ingekuwa nchi huru ya kujitegemea uchumi wake ungekuwa na nafasi ya 8 duniani . Utalii , kilimo na viwanda vya ndege huajiri watu wengi. Kampuni za kompyuta zimestawi vizuri sana California, kwa mfano Microsoft . Los Angeles , hasa eneo la Hollywood , ni kitovu cha kupiga picha za filamu .

Mji mkuu ni Sacramento . Kuna miji 59 yenye wakazi zaidi ya lakhi moja:

Mji Wakazi
1 Los Angeles 3.957.875
2 San Diego 1.305.736
3 San Jose 944.857
4 San Francisco 799.263
5 Fresno 500,017
6 Long Beach 491.564
7 Sacramento 452.959
8 Oakland 412.318
9 Santa Ana 351.697
10 Anaheim 345.317
Hifadhi ya Redwood
Mlima Shasta
Yosemite National Park

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

Alabama Alaska Arizona Arkansas California Colorado Connecticut Delaware Florida Georgia Hawaii Idaho Illinois Indiana Iowa Kansas Kentucky Louisiana Maine Maryland Massachusetts Michigan Minnesota Mississippi Missouri Montana Nebraska Nevada New Hampshire New Jersey New Mexico New York North Carolina North Dakota Ohio Oklahoma Oregon Pennsylvania Rhode Island South Carolina South Dakota Tennessee Texas Utah Vermont Virginia Washington West Virginia Wisconsin Wyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu .
Je unajua kitu kuhusu California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .