Marcus Salvius Otho ( 25 Aprili 32 - 16 Aprili 69 ) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kwa miezi michache tu kuanzia 15 Januari , 69 hadi kifo chake. Alimfuata Galba .