Julius Wagner-Jauregg ( 7 Machi 1857 – 27 Septemba 1940 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Austria . Hasa alichunguza na kutibu magonjwa ya kiakili kwa kutumia tiba ya kushtua ya kuingiza homa mwilini. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .