한국   대만   중국   일본 
Joseph James Mungai - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Joseph James Mungai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph James Mungai ( 24 Oktoba 1943 - 8 Novemba 2016 ) alikuwa mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania [1] akitokea katika chama cha CCM .

Aliwahi kuwa waziri wa elimu .

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Marejeo [ hariri | hariri chanzo ]

  1. "Mengi kuhusu Joseph James Mungai" . 1 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18 . Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011 .