Joseph James Mungai ( 24 Oktoba 1943 - 8 Novemba 2016 ) alikuwa mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania [1] akitokea katika chama cha CCM .
Aliwahi kuwa waziri wa elimu .