John William "Trane" Coltrane ( 23 Septemba 1926 – 17 Julai 1967 ) alikuwa mwanamuziki wa Marekani . Alikuwa anapiga muziki ya jazz . Mwaka wa 2007 alituzwa tuzo maalumu ya Tuzo ya Pulitzer ya Muziki kwa kazi ya maisha yake, yaani baada ya kifo chake.