Johannes Hans Daniel Jensen ( 25 Juni 1907 ? 11 Februari 1973 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani . Hasa alichunguza nadharia ya atomu . Mwaka wa 1963, pamoja na Maria Goeppert-Mayer na Eugene Wigner alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .