Jimbo la Sao Paulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Megacity, Sao Paulo
Mahali pa Sao Paulo katika Brazil

Sao Paulo ni jina la kutaja jimbo huko nchini Brazil . Hili ndiyo jimbo kubwa kupita majimbo yote na ndiyo jimbo pekee lenye viwanda vingi na kukuza uchumi wa Brazil. Mji mkuu wake ni Sao Paulo .

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu .
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Sao Paulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .