Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hoteli
(kutoka
neno
la
Kiingereza
hotel
linalotokana na lile la
Kifaransa
hotel
ambalo, sawa na neno "
hospitali
", lina asili katika
Kilatini
hospes
, yaani
mgeni
) ni
jengo
kubwa lenye
vyumba
vingi, ambapo watu wanaweza kulala wakati hawapo
nyumbani
.
Wenye sehemu hizo wanakodisha chumba kwa siku yoyote. Wanatoa vyumba vya kulala, na kwa kawaida hata
chakula
, hatimaye kwa ajili ya
huduma
hizo hutaka
pesa
, ambazo kiasi chake hutegemea
ubora
wa jengo.
Pia kuna hoteli ambapo
mikutano
hufanyika.
Aina za hoteli hulinganishwa na wingi wa vyumba na eneo ambalo hoteli hupatikana.
Aina za vyumba hutazamwa kulingana na aina au
idadi
ya
vitanda
vilivyomo ndani yake.
- Single room
ni aina ya chumba maalumu kwa ajili ya kulala mtu mmoja tu
[5]
- Double room
ni aina ya chumba maalumu kwa ajili ya watu wawili na huwa na kitanda kimoja kikubwa.
- Twin bed
ni aina ya chumba chenye vitanda viwili vilivyo karibu, wakati mwingine anaweza kulala mtu mmoja katika aina hii.
- Suite room
ni aina ya chumba kikubwa kilicho na sehemu ya kulala pamoja na
sebule
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Hoteli
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|