Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Home on the Range
ni filamu ya
katuni
-muziki ya
Kimarekani
ya mwaka wa
2004
iliyotayarishwa na
Walt Disney Feature Animation
na kutolewa na
Walt Disney Pictures
mnamo tar.
2 Aprili
2004, na ilipewa jina la wimbo wa
muziki wa country
maarufu kama "Home on the Range". Hii ni filamu ya 45 kutolewa kutoka katika mfululizo wa filamu za
Walt Disney Animated Classics
, na ilikuwa ya mwisho kutolewa na Disney kwa upande katuni hadi hapo ilipofika mwaka wa 2009 alipotoa filamu ya
The Princess and the Frog
, na hii filamu ya katuni ya mwisho ya Disney kutolewa kwenye
VHS
.
Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na
Roseanne Barr
,
Judi Dench
,
Jennifer Tilly
,
Steve Buscemi
,
G.W. Bailey
,
Cuba Gooding, Jr.
na
Randy Quaid
.
Hadithi
Washiriki
Marejeo
Viungo vya Nje
|
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Home on the Range (filamu ya 2004)
kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|