Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Hindu Kush, ikionyesha mpito wa Dorah
Sehemu za milima
Hindu Kush
ni
safu ya
milima ya kunjamano
katika
Asia ya Kati
. Inaenea kuanzia
Afghanistan
upande wa
magharibi
hadi
Pakistan
na kuishia katika
China
na
Tajikistan
.
Mlima
wa juu ni
Tirich Mir
wenye
kimo
cha
mita
7,708.
Njia za kuvuka milima hiyo ziko kwenye
mipito
ya Mintaka, Kilik, Chilinji na Kuramber zikiunganisha
Kashmir
na nchi za
Asia ya Kati
.
Mito
mingi pamoja na
Chapursan
,
Ishkuman
,
Ghizar
,
Gilgit
na
Shandur
hutoka kwenye
mabonde
ya Hindu Kush na mwishowe hujiunga na
Mto Indus
. Upande wa kaskazini
maji
ya Hindu Kush hutiririka kuingia katika mto
Amu Darya
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Hindu Kush
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|