Hallands lan ( Kiswahili : Wilaya ya Halland ) ni kati ya wilaya 21 za Uswidi . Makao makuu yako Halmstad .