Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guadeloupe
ni
eneo la ng'ambo
na
mkoa
(departement) wa
Ufaransa
katika
Bahari ya Karibi
lenye visiwa tisa vidogo. Hivyo ni sehemu ya
Umoja wa Ulaya
.
Makao makuu
ni
Basse-Terre
, ingawa
mji
mkubwa ni
Pointe-a-Pitre
.
Wakazi asilia walikuwa
Waindio
.
Utamaduni
wao uliharibiwa kabisa kwa kuja kwa
ukoloni
kutoka
Ulaya
(
1493
).
Ilikuwa
koloni
la
Ufaransa
halafu la
Uingereza
halafu la
Uswidi
halafu la Ufaransa tena.
Eneo lake ni
km²
1,628.
Idadi
ya wakazi ni 394,110.
Asilimia
71 za wakazi ni wa asili ya
Afrika
au ma
chotara
. Wazee wao waliletwa huko kama
watumwa
kwa ajili ya
kazi
za ma
shamba
ya
miwa
. 15% ni
Wahindi
, 9%
Wazungu
, 3%
Wachina
na 2%
Waarabu
.
Lugha rasmi
ni
Kifaransa
, lakini wengi wanaongea pia
Krioli
.
Upande wa
dini
, 80% ni
Wakatoliki
na 5%
Waprotestanti
.
- Martinique
, eneo lingine la Ufaransa katika Bahari ya Karibi
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Bahari ya Karibi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Guadeloupe
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|