George Andrew Olah (amezaliwa 22 Mei 1927 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Hungaria . Mwaka wa 1971 alipata uraia wa Marekani . Hasa alichunguza sifa za kaboni na asidi . Mwaka wa 1994 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .