Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jayceon Terrell Taylor
(amezaliwa tar.
29 Novemba
1979
) ni rapa na mwigizaji kutoka nchini
Marekani
. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama
Game
. Game alianza kujipatia umaarufu wake kunako mwaka wa 2005, pale alipotoa albamu yake ya kwanza " the documentary" iliyompatia mafanikio makubwa kabisa.the game pia yupo kwenye kikundi cha west coast ambacho pia wapo wakina snoop dogg na muazilishi wake tupac na imrani mashanga
[3]
[4]
[5]
Albamu ilikwenda kwa jina la
The Documentary
,na ikaweza kujishindia Tuzo mbili za Grammy ikiwa kama albamu bora ya rap na hip hop kwa mwaka wa 2005. Tangu hapo, akawa anafikiriwa kuwa anarudisha kwa nguvu ule muziki wa hip hop wa West Coast kwa mashindano na majigambo na baadhi ya rapa wengine wa East Coast.
Mbali na kutoa albamu ya kwanza na ya pili na pia kuweza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 bora, Game amepata kuhusishwa na masuala ya ugomvi na baadhi ya marapa wenzake. Muziki anaofanya ni ule muziki wa kihuni sana ambao mara nyingi unafanywa na kujulikana zao katika mji wa kwao wa huko
Compton, California
.
game amezaliwa kwa jina la Jayceon Terrell Taylor huko los angeles, california na kukulia compton,california.Alitumia maisha yake mengi kukaa kwenye crip gang eneo ambalo linaitwa Santana Blocc.Ingawa alikulia kwenye jamiii ya
bloods
.Baada ya kumaliza shule ya secoundary compton mwaka 1999 the game alijiunga na chuo cha washington state kutokana na basketball lakini alifukuzwa shule wakati wa mwaka wa kwanza kutokana na madawa ya kulevyia hapa ndipo akaaanza maisha ya mtaani kwa kuuuza madawa ya kulevyia na pastola.Wakati akiwa na miaka kumi na nane the game alianza kufuata nyayo za kaka yake wa kambo
big face 100
ambaye alikuwa ni mkumbwa wa kundi lake linaloitwa Cedar Block Pirus.
2005, Mwanamiziki bora mpya [alichaguliwa]
2005, mshirikishaji bora wa nyimbo("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 cent [alichaguliwa]
2006, nyimbo bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
2006, uigizaji bora wa rap kwenye kundi ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
2005,video bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
2008, Mwanamuziki bora wa west Coast rap [alishinda]
2007,Albumi bora ya West Coast rap("Doctor's Advocate") [alishinda]
|
---|
Albamu zake
| |
---|
Single zake
| |
---|
Makala zinazohusiana
| |
---|
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Game
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|